Teentalents Crew Iliyofanikisha Zoezi Zima
Washiriki waliochaguliwa kujiunga na TeenTalents Kukuza Vipaji Vyao. Hapo Kuna Dancers, Models Na Musicians
Washiriki Wakijaza Form Za Kushiriki Mchujo
Mama Teen (Sammylycious Karl) Akishirikiana Na (Kazi One) Kupangilia Location Kabla Ya Zoezi Zima Kuanza Na Washiriki Kufika.
Mama TeenTalents (Sammylycious Karl) Akihangaika Na Wire Za Kuchomeka Speakers
Washiriki Wa Kike Wakijaza Form Za Ushiriki
Washiriki Wa Kiume Wakijaza Form Za Ushiriki
Washiriki walipigwa mihuri ya teentalents kama utambulisho wa ushiriki ndani ya venue
Zoezi la mihuri kwa washiriki likiendelea
Zoezi la kujaza form za ushiriki likiendelea
Washiriki wakisubiri kuitwa majina
Eneo lililotumika kufanyia usahili
HAYA HAPA SASA VIJANA WANAANZA USAHILI
Model ktk pozi
Model akijaribu kuigiza anafanya tangazo
Msanii akiwa ktk enterview na judges
Model akijaribu kufanya tangazo la maji
TeenTalents Dancers Coordinator & Models Coordinator
Same Goes To This Dude He Is A Model Hahahahah Full Mauzo Meeeeeeen!!!!
Mama TeenTalents & Aunt TeenTalents,Ndani Ya Pozi Kwa Pooooooozi
Models Coordinator,Secretary P.A & Director Teentalents Tanzania
Mama TeenTalents Kafuraaaahiiiiiiiiiii
Uncle TeenTalents Bab Chico Marketing Manager Naye Anaomba Apigiwe Kura Anahitaji Kua Model!
Mama TeenTalents Akiomba Na Yeye Ajaze Form Za Kua Model , Tukamtolea Nnje Na Ye Kibonge Kama Uncle TeenTalents Bab Chico
HAHAHAHHAHAHAHAHA TEENTALENTS WE HAD FUN KARIBUNI MJIUNGE NA MKUZE VIPAJI VYENU NA MPATE AJIRA TEENTALENTS!!!!!!!
HATUKUWEZA KUPATA PICHA YA PAMOJA YENYE IDADI YA WATU WALIOKUJA WOTE MAANA WALIKUA WANAKUJA NA KUONDOKA BAADA YA KUMALIZA USAHILI WAO.
No comments:
Post a Comment