
Hii ni namna mojawapo ya jinsi anavyotumia ubunifu kuitangaza kampuni yake.
Hili ni vazi lake alilopangilia siku ya leo na nyuma ya hicho ki top cheupe ndio kuna logo ya kampuni
Sammylycious (Samira) wengi wanapenda kumuita Mama TeenTalents katika Pozi tofauti na kivazi chake alichobuni yeye mwenyewe.
No comments:
Post a Comment