Teen Talents Tanzania inawakaribisha vijana wote wanaopenda kukuza na kuendeleza vipaji vyao.

Thursday, May 24, 2012

Oooooowwwww!! Hatujaweza kujizuia japo video haijatoka clear aliyechukua alichukua kwa simu  na si kwa vile tunapendelea kuwapa updates za teen tukaamua kuwawekea hivyo hivyo muone. Dancers ndio hawa waliopatikana usahili wa mwanzo,walicheza bila bits wala chochote kile cha kuwapa back up na wakaweza kama mnavyoona kwenye hizo videos hapo! Sasa tunapoongelea talents this is what we mean!!!!!!!!!




No comments:

Post a Comment