Teen Talents Tanzania inawakaribisha vijana wote wanaopenda kukuza na kuendeleza vipaji vyao.

Monday, May 28, 2012

DANCERS TEEN TALENTS TANZANIA AUDITION IN LEADERS CLUB
 28TH MAY



Hii ndo venue iliyotumika kufanyia audition 28 mei.


Teen Talents Director akisubiri vijana wafike mchakato uanze


Producer Kazi One kama judge ktk audition, akiwa na director teentalents (Sammy) wakisubiri vijana wafike

Judges wakijiandaa kuanza kazi yao


judges Kazione akiwa na justin D wakiangalia kwa makini


Director (Sammy) akiteta na judges kama anaruhusiwa kuanza maana hiyo siku alikua presenter na MC wa audition.

TeenTalents Crew Ikiwa tayari kuanza mchakato mzima


Washiriki Wakisubiri kuitwa majina


HAYA SASA MCHAKATO UNAANZA



PRESENTER Presenter (Sammy) wengi wanapenda kumuita (mama teen) akiwa tayari kuanza kazi


 Hapa akimuuliza production officer teentalents naruhusiwa kuanza kazi?


Production officer teentalents (Felix) akifanya kazi yake wkt presenter akifunguka mawili matatu kuhusiana na zoezi zima.

TULIANZA NA DANCERS


Hawa ndio wale dancers waliopita audition ya mwanzo,hivyo tulianza nao kufungua usahili wa pili.

presenter akiwahoji mawili matatu

Vijana walipewa mtihani wa kuandaa drama ya audition iliyopita sasa wako tayari kuionyesha presenter akisogea kuwaachia uwanja.

KIFUATACHO NI ULE MTIHANI WETU JE WALIFAULU?
TUTAZAME PICHA KWANZA




Majibu ya mtihani ni haya hapa: Walijitahidi kufikisha asilimia 55 tu kwa zoezi zima kuna baadhi ya vitu walifeli hawakutakiwa kuongea waliambiwa waonyeshe vitendo tu..!


HAYA HAPA NDO MAUJANJA YA STYLE ZA KUCHEZA.



Huyu jamaa hapa anzungusha hilo lingi hapo kichwani kama lipo kwenye umeme.


Hapa akilizungusha kwa kidole kimoja


Hapa akilizungusha kwa kutumia tumbo na kulirusha juu kisha  kutua juu ya tumbo lake tena


Hapa ndipo alipoacha hoi watazamaji, judges na hata wapita njia walisimama kutazama alipozungusha hilo lingi kutumia makalio yake kwa style hii.

Alimalizia kwa kuzungusha na mguu.
huyu jamaa mnamuonaje?? kwa Teentalents ni ametishaaaaaaaaaa!!!!


Hapa sasa!! hajaanguka jamani ni style tuuuuu!!!



Hapa nako uwiiii sio kiduku jamani ni anajiandaaa kujirusha angani huku anacheza!!



Hawa vijana Walipewa zoezi la kutengeneza tangazo la kinywaji kwa kutumia kipaji chao cha kucheza walifanya mmoja mmoja.


Alianza huyu


Hawa waliamua kushirikiana


Huyu alitujia na hii kali kwa kukimbia kuashiria kinywaji.


presenter akiulizia kura za mshindi alieshinda tangazo alianza na huyu

Huyu Je????


Hapa sasa zilipoulizwa kura za mzungusha lingi watu woote huyo huyooo hadi vitoto kwa hiyo huyu ndio alikua mshindi wa ubunifu wa tangazo la kinywaji.

KIFUATACHO NI BURUDANI AMBAYO ILIFANYWA NA DANCERS WA AUDITION ILIYOPITA






HAPA SASA NDIO PATAMU



Lahaulah presenter alivutwa pembeni na vijana wengine......waliteta hiviiii---> Vijana: tunaomba nafasi ya kuingia pale kati sisi wakali kushinda wao...
presenter: ok nipeni dk moja!



Presenter (Mama teen) kama wanavyopenda kumuita ghafla alivamia uwanja na kuwapiga stop kidogo vijana.


Ghafla presenter alitangaza mchuano kati ya wenyeji wa audition na wageni waliotokelezea kujiunga na TeenTalents.

UFUATAO NI MCHUANO ULIVYOKUA




Vijana walivamia stage kwa style hii.


Hapo sasa


Jamaa mkono mmoja tu ndio umeshika chini ktk hii style.


Hii style inaitwaje vile? Naomba tutajie wewe.....


Hapa je? Judge...mama teen umeniona?


Wakamalizia hivi.......................!!!!!!!!!!!
Kifuatacho je??
Wenyeji walijibu mapigooo


Hapa sasa!!! mmmmh.........?????????????


Huyu nae je??


Mh....Mhhh Usigeuze screen huyu jamaa amesimamia mikono.................!!!



Dancers wenyeji walipata challenge kubwa hawakuitegemea!!!
Audition ilikua nzuri tunawakaribisha fans wote wa teentalents ktk audition zetu na kwa wale wenye vipaji wanahitaji kujiunga nasi basi karibu teen talents ujiandikishe nasi tutakufanyia usahili.

Nia na lengo la Teen Talents,
ni kuibua vipaji,kuvikuza vipaji,kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji na kuwasaidia vijana waendelee wenyewe na waweze kusimama wenyewe wao kama wao.

No comments:

Post a Comment