MODELS AUDITION LEADERS CLUB ON 28TH MAY
Director Teen Talents akimuuliza maswali mshiriki.
mshiriki akipokea mike ajibu maswali
Mshiriki Mwingine akiulizwa maswali
Mshiriki akijibu swali lake.
Mshiriki akijitetea kwa kujibu swali
Mshiriki akionyesha utembeaji wa model.
Director akimpa chemsha bongo mshiriki
Mshiriki akijibu chemsha bongo kwa kutumia vitendo.
Director akimuelekeza kitu mshiriki.
Mshiriki akijibu swali.
Hapa akionyesha jibu la swali aliloulizwa kwa vitendo.
Mshiriki akijibu swali
Mshiriki
Mshiriki akijitetea baada ya kuulizwa swali.
Mshiriki akijaribu kuonyesha kipaji chake.
Mshiriki akijaribu kuonyesha tangazo la mziki kuashiria teen talents.
Mshiriki akiulizwa swali.
Mshiriki katika pozi.
Mshiriki akiulizwa swali.
Mshiriki akirudi kuketi baada ya kuulizwa swali.
Washiriki katika picha ya pamoja.
WASHIRIKI KATIKA PICHA ZA PAMOJA NA DIRECTOR TEEN TALENTS.
TEEN TALENTS TANZANIA INAKUZA VIPAJI
NA KUKUPA MWANGA WA MAISHA YAKO
WEWE KIJANA.
No comments:
Post a Comment