VIJANA NA MAENDELEO
Mwanadada Happyness Maira meamua kuwa mjasiliamali. jamani karibuni sana dukani kwetu
SLIP WAY DUKA no. 33 mje mtuchangie tuna vitu vingi vizuri sana, nguo za asili, mikoba ya zanzibar, nguo za zimbabwe, vikapu, vinyago, table mats, earrings, necklaces, viatu vya kimasai ni vingi siwezi kumaliza kwa kuvitaja. KARIBUNI SANA
Happyness Maira
Dukani kwa Happyness Maira Slipway Duka no.33
Happyness Maira Anawakaribisha Sana Dukani Kwake Mkajipatie Vitu Vizuri Na Kwa Bei Poa.