Teen Talents Tanzania inawakaribisha vijana wote wanaopenda kukuza na kuendeleza vipaji vyao.

Friday, June 15, 2012

ALICHOSEMA DOGO JANJA “Uonevu na Dhuluma Ndivyo vilivyonichosha Kuishi Dar es Salaam.”

Siku moja baada ya Dogo Janja kudaiwa kufukuzwa Tip Top Connection, ukweli halisi kuhusiana na uamuzi huo umewekwa wazi na yeye mwenyewe.

Sababu zilizotajwa na Tip Top Connection ni kwamba Dogo Janja alilewa sifa na kuwa mtoro shuleni.

Kwa mujibu wa interview (ya pili kufanyiwa baada ya kipindi cha Amplifaya cha jana) tuliyofanya naye kwa simu saa moja asubuhi leo (June 14) akiwa stand kurejea nyumbani, uonevu na dhuluma ndivyo vilivyomchosha kuishi Dar es Salaam.

Anasema tangu aje Dar es Salaam hajawahi kusaidiwa chochote na Madee zaidi ya mambo ya muziki pekee huku kula, malazi na ada ya shule vikifanywa na rafiki yake Madee aitwaye Abdallah Doka ambaye (Dogo Janja) alikuwa akiishi kwake.

Anasema kutokana na ngoma zake kujipatia umaarufu alikuwa akipata show nyingi nchini na zote alikuwa halipwi chini ya milioni moja.


Kilichokuwa kinamsikitisha anasema ni kulipwa hela kidogo isiyozidi laki mbili na hivyo kumfanya aishi kwa tabu licha ya kuingiza hela nyingi za show.


Tuesday, June 12, 2012


“DAR CITY BOYZ (DCB)”

It's that summertime, everything is good. What follows is collaboration from two different places. A Club Joint, for party people and all fans who enjoy great music. The Song is called tonight and J-Ryder joined with Dar City Boyz (DCB) which comprises of Big Flow Santanna, Imma, and Lil Harsh to complete the song. We greatly appreciate and thank all for your support on this song. We have a great feeling it's going to reach far and also taking the Tanzanian Music to the next level.
Peace J-Ryder
Artist: J-Ryder Feat. Dar City Boyz (DCB) Song Name: Tonight Producer: J-Ryder Genre : Electronic/Dance Vocals : Dar City Boyz (DCB), Recorded at Marshalz Studios (India) Mixed & Mastered by J-Ryder in Vantaa, Finland
Click this link to download the track.        http://hu.lk/ne1t9rmbx90e


(DCB)
Teen Talents Tanzania No.1 Youth Blog

Friday, June 8, 2012

TEEN TALENTS TUNAHITAJI MODELS

Kama uko tayari fika leaders club kila jumamosi
 kwa usahili
au wasiliana nasi kupitia +255 658 304 488
pia
unaweza kutuma picha zako na contacts zako kupitia



Thursday, June 7, 2012



THANK YOU “BE NICE TO EARTH”
 FOR SHOWING  
APPRECIATION TO OUR DIRECTOR


(Sammy) Teen Talents Tanzania Director
 
Sharing happiness with kids under 15 after they fail a football match and started to cry Sammy gave them hope and courageous which made them happy and smile again. We thank you “BE NICE TO EARTH” for this cover and for appreciation her work, her heart and her carrying. We also thank you so much for the cover and beautiful words

Monday, June 4, 2012


TALENTS RECRUITMENT  LEADERS CLUB JUNE 2ND 2012


(Ally)
TeenTalents Sales Manager Alifungua kwa kutoa intro about TeenTalents.
Baada ya Intro alimpisha presenter aendelee.


(Sammy)
Presenter akifungua kwa kuanza na jingle ya teen talents iliyochezwa na dancers.


VIDEO YA JINGLE NA DANCERS.


Alianza huyu.


Kisha alimalizia huyu

BAADA YA HAPO WALIFATA MUSICIANS KUTOA FREE STYLES
NA KUONYESHA MAUJANJA YAO

Muite Jigga wa  Bongo Joh!
Huyu jamaa ni mwana Hip Hop!


Muite Nikki Minaj
Dada anaimba Hip Hop, R & B na Pop


Muite mzee wa Punch jamaa ana punch za kufa mtu.


BAADA YA FREE STYLES ILIFUATIWA NA DANCERS


Presenter (Sammy) akiita majina